NyumbaLink TZ

Kufuta Akaunti yako ya NyumbaLink TZ

Njia ya 1: Ndani ya app (mara moja)

  1. Fungua app ya NyumbaLink TZ na uingie kwenye akaunti yako.
  2. Nenda Mipangilio (Settings) → sehemu ya Akaunti.
  3. Chagua Futa Akaunti.
  4. Andika neno la uthibitisho (FUTA) na uthibitishe.

Akaunti na data zako zinafutwa mara moja.

Njia ya 2: Kwa barua pepe

Kama huwezi kuingia kwenye app, tuma ombi kutoka kwenye barua pepe uliyosajilia kwenda weisikosilvester@gmail.com ukiwa na kichwa "Ombi la Kufuta Akaunti". Tutashughulikia ndani ya siku 30.

Kinachofutwa

Ufutaji ni wa moja kwa moja na hauwezi kurudishwa. Vinavyofutwa:

  • Akaunti yako ya kuingia (barua pepe / Google)
  • Wasifu wako, wafuasi na reviews
  • Matangazo yako yote (nyumba, viwanja, miradi) pamoja na picha zake
  • Kumbukumbu za wapangaji, mikataba na malipo ulizoweka
  • Chats zako (kwa pande zote mbili za mazungumzo)
  • Arifa na taarifa zako zote

Kumbukumbu chache zinaweza kubakizwa kwa muda mfupi pale inapohitajika kisheria au kuzuia udanganyifu. Soma zaidi: Sera ya Faragha.